SABATO

“ Basi mbingu na nchi zikamalizika, na jeshi lake lote. Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya. Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya.” Mwanzo 2:1-2 Uumbaji wa Mungu haukuwa… Read More SABATO

UNAJUAJE KAMA UMESAMEHEWA?

Unajuaje kwamba umesamehewa na Mungu pale unapoomba msamaha/ unapotubu? Kawaida mkosaji anapoomba msamaha anatazamia kusamehewa ndio maana anaomba msamaha. Kwa sababu hiyo, anaweza kumaanisha hata akalia na kujigalagaza chini.  Lakini katika msamaha kuna mawili, kusamehewa au kutosamehewa. Na hayo yote ni majibu ambayo mwombaji anaweza kuyapata. Na mbele za Mungu hali ipo hivyo hivyo ingawa… Read More UNAJUAJE KAMA UMESAMEHEWA?