AIBU YA MWANAUME

“Je! Hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake? Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi. ” 1 Wakorintho 11:14-15 Kuna huo mstari,katika pitapita zangu leo katika biblia,bhana,nikakutana nao. Nilivyousoma leo ni tofauti na vile nilivyousoma… Read More AIBU YA MWANAUME

KWA NINI MATUMIZI YAKO NI MAKUBWA KULIKO KIPATO CHAKO?

Matumizi ya watu wengi ni makubwa zaidi ya mapato wayapatayo. Kuwa na matumizi makubwa kuliko kile ukipatacho kunapelekea stress,na maisha ya kudaiwa siku zote. Lakini kwa nini watu wengi wanaishi katika hali kama hii? Au Je haiwezekani kuwa na matumizi sawa sawa na mapato yako? Mtu mmoja akaniambia “mchungaji haiwezekani matumizi yakalingana na mapato kwa… Read More KWA NINI MATUMIZI YAKO NI MAKUBWA KULIKO KIPATO CHAKO?

YESU ANAKUITA JINSI ULIVYO!

“Hivi unajua mtu aachi pombe ndipo aje kwa Yesu,Bali Yesu umwita mtu jinsi alivyo,naye ndiye mwenyewe kumbadilisha” Yesu anakuita vile ulivyo!!! Duh! Hiyo kali kwa kweli,…Nzuri sana… 🙆🙆👊👆 Je ujawahi kusikia mtumishi akikemea watu au mtu fulani kwamba anatakiwa aache pombe ndipo aje kanisani? Au wakati mwingine waweza kusikia mtumishi akimwambia kwa ukali binti fulani… Read More YESU ANAKUITA JINSI ULIVYO!

WAZAZI WENGINE NI CHANZO CHA MAFARAKANO

Kuna vyanzo vingine vya mafarakano katika familia vinasababishwa na wazazi wenyewe kwa kusimamia vibaya familia, hatimaye kutengeneza mpasuko kwa watoto na hatimaye familia kwa ujumla wake.  Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua kuna wazazi au walezi hawajengi bali wanabomoa familia,mfano angalia baadhi ya mambo yafuatayo;  Kushindwa kuelewana  Kuna wazazi ambao kila siku ni kelele za ugomvi,yaani… Read More WAZAZI WENGINE NI CHANZO CHA MAFARAKANO

UCHAGUZI MKUU

“ Kisha wakaomba, wakasema, Wewe, Bwana, ujuaye mioyo ya watu wote, tuonyeshe ni nani uliyemchagua katika hawa wawili,Wakawapigia kura; kura ikamwangukia Mathiya; naye akahesabiwa kuwa pamoja na mitume kumi na mmoja.” Matendo 1:24,26 Wanafunzi wa Yesu walipotaka kufanya uchaguzi walifuata taratibu sahihi za kumpata kiongozi. Walizingatia kufuata taratibu za kawaida za kupiga kula,lakini walifuata pia… Read More UCHAGUZI MKUU