USHINDI KABLA YA MWAKA MPYA.

  Katika mbio za riadha za mita ndefu,wakimbiaji huanza kukimbia taratibu kwa staili ya “kuvuta pumzi ” huku kila mmoja akitaraji kushida taji,lakini hata hivyo si wote washindao ingawa wote wamejitia machezoni.Lakini gafla mwendo wao hubadilika na kuongezeka zaidi pale wanapobakiza umbali mdogo wa kumaliza. Mkimbiaji huangalia sana anamalizaje na si anaanzaje,na ndio maana katika… Read More USHINDI KABLA YA MWAKA MPYA.

NGUVU YA HAZINA ILIYOSITIRIKA.

   “ hazina iliyositirika ” ni hazina iliyofichwa /iliyofichika. Tafsiri nyepesi ya neno “hazina” ni mali yenye thamani. Mali yenye thamani inawezekana ikawa “dhahabu,fedha,shaba,n.k” Hazina zenye thamani kubwa zimejificha sana kiasi kwamba kama unazitaka,itakulazimu uache kazi,ili ufanye kazi ya kuitafuta kwa bidii sana bila kuchoka! Angalia namna ambavyo dhahabu inavyotafutwa kila siku tena usiku na… Read More NGUVU YA HAZINA ILIYOSITIRIKA.

UKO WAPI ?

Uko wapo ? /Where are you? “Bwana Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? ” Mwanzo 3:9. Hili ndilo swali la kwanza katika biblia yote,kwa mara ya kwanza Bwana Mungu anaanza kumwuuliza mwanadamu “uko wapi?”.  Baada ya Adamu na mkewe kutenda dhambi ya kuasi,waliona vyema wajifiche kati ya miti ya bustani,ili Mungu asiwaone. Hakika walijidanganya,kwa maana… Read More UKO WAPI ?

MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KIMILI ~ 2 ( tamati)

  …kitendo cha kuitwa “mwana wa Mungu” kinaonesha hali yake ya uungu alionao. Huku uswahili kwetu ( Tz) tunamsemo usemao “mtoto wa nyoka ni nyoka” msemo huu ni wa wahenga ambao walikuwa wakijaribu kusema kwamba mtoto wa nyoka ana tabia sawa na nyoka mkubwa,wanafanana hata tembea yao. Ni sawa na kusema ukimwona mtoto wa nyoka,umemwona… Read More MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KIMILI ~ 2 ( tamati)