AMEFUFUKA KWELI KWELI

Yesu aliteswa akafa msalabani kwa ajili yako na siku ya tatu akafufuka katika wafu kama ilivyoandikwa ( Matendo 2:22-24,Mathayo 28:7). Hii ina maana kaburi halikumuweza,Yeye tu hai anaishi hata sasa. Katika sikukuu ya Pasaka unayosherekea ni lazima ujue ya kwamba Yesu amelishinda kaburi,Yeye yupo na anaishi hata sasa, ukimpokea ataingia kwako na mambo haya ninayokueleza… Read More AMEFUFUKA KWELI KWELI

PASAKA SIKUKUU YA MUHIMU KWAKO.

Neno “sikukuu ya Bwana” leo hii imetafsiriwa vibaya na watu wasiomjua Mungu na kupelekea Pasaka kuwa maficho ya uzinzi na uasherati,maana dhambi za kila aina sasa zinapangwa kufanyika kwenye sikukuu ya Bwana,kinyume kabisa na na maana ya kiroho. Hivyo ni vyema leo nikufundishe mambo haya kiundani,kusudi unapoadhimisha pasaka uwe na ufahamu wa Kiungu. Hivyo huna… Read More PASAKA SIKUKUU YA MUHIMU KWAKO.

SIKUKUU TATU MUHIMU ZA WAYAHUDI.

Wayahudi wana kalenda kuu mbili; Kalenda ya dini Kalenda ya serikali. Kwa mujibu wa kalenda ya dini,wayahudi wameamriwa waafhimishe sikukuu kubwa tatu kwa mwaka,ingawa zipo sikukuu nyingine za kidini zilizoamriwa. Sikukuu hizi tatu wakati mwingine zinaitwa “ sikukuu za BWANA ” leo hii duniani pote tunaadhimisha moja kati ya sikukuu zao kwa sababu nasi sikukuu… Read More SIKUKUU TATU MUHIMU ZA WAYAHUDI.

UTIMILIFU WA UNABII – 3

“Utimilifu wa unabii wa Isaya uliotimizwa katika Kristo ‘‘ Kumbuka,nabii Isaya ni mmoja kati ya manabii wakubwa wanaoelezwa kwenye biblia. Ukiulizwa leo utaje vitabu vitatu vya manabii wakubwa,basi ujue kimojawapo ni Isaya kutokana na sehemu kubwa ya unabii alioutoa Isaya. Hivyo  utagundua kwamba zipo nabii nyingi alizozitoa nabii Isaya nazo zimetimia,lakini leo nataka nikutazamishe nabii kubwa… Read More UTIMILIFU WA UNABII – 3

MFARISAYO NIKODEMO MKUU WA WAYAHUDI.

Kuna mengi ya kujifunza tunapomuangalia huyu mkuu wa Wayahudi aitwae Nikodemo. Natamani leo hii uweze kuona kama nionavyo mimi katika yale ninayojifunza. Kwanza kabisa Nikodemo alikuwa ni kiongozi wa dini, Mfarisayo; mtu aliyemuendea Yesu usiku kwa hofu kwa kuwa aliwaogopa Wayahudi maana kama angelimuendea mchana angelionekana,na hata hivyo alikuwa na mazungumzo marefu sana na Bwana… Read More MFARISAYO NIKODEMO MKUU WA WAYAHUDI.

KUOKOKA KUNA MAANA GANI HASA?

Kulikuwa na vijana watatu ambao waliokuwa wana desturi ya kwenda kuogelea kwenye bahari kwenye misimu ya sikukuu. Siku moja kwenye sikukuu,wenyewe wakiwa “wameulamba” tayari kwa mtoto wao kwenda bichi kuogelea. Wakiwa tayari wote watatu wamebadili nguo zao kisha wakawa “ wakipiga mbizi“,’mara wote watatu wakapelekwa mbali na mawimbi makali siku hiyo. Wakiwa katika hali ya… Read More KUOKOKA KUNA MAANA GANI HASA?