MFUNGO WA SIKU 40.

  Biblia inatupa mifano ya watu wachache waliofunga kwa siku arobaini. Mifano hii inatuonesha kwamba suala la kufunga siku 40 linawezekana hata sasa kwa sababu ni Mungu yule yule aliyewasadia watu hao wakaweza na ndiye huyo huyo atakayekusaidia hata kuweza. Ni vyema kutambua kuwa,chochote kilichoandikwa kwenye biblia kimeandikwa ili wewe upate kujifunza,kuongozwa,kuadabishwa pamoja na kuonywa,tena… Read More MFUNGO WA SIKU 40.

KWA NINI MATUMIZI YAKO NI MAKUBWA KULIKO KIPATO CHAKO?

Matumizi ya watu wengi ni makubwa zaidi ya mapato wayapatayo. Kuwa na matumizi makubwa kuliko kile ukipatacho kunapelekea stress,na maisha ya kudaiwa siku zote. Lakini kwa nini watu wengi wanaishi katika hali kama hii? Au Je haiwezekani kuwa na matumizi sawa sawa na mapato yako? Mtu mmoja akaniambia “mchungaji haiwezekani matumizi yakalingana na mapato kwa… Read More KWA NINI MATUMIZI YAKO NI MAKUBWA KULIKO KIPATO CHAKO?

KUADABISHWA NA MUNGU.

    “kuadabishwa” ni aina ya nidhamu inayotolewa hasa na mzazi kwa mtoto wake. Kitendo hiki cha kumnyoosha mtoto aliyekosa ili aweze kumwelekea vyema babaye,au afuate utaratibu stahiki kwa upendo,huitwa “kuadabishwa “,hata hivyo; Biblia inalitumia neno hili kuonesha ya kwamba Mungu naye hutuadabisha kama njia ya kuturejeza kwenye mstari sahihi. Wakati mwingine biblia hutumia neno… Read More KUADABISHWA NA MUNGU.

SIRI YA KUFANIKIWA NA KUSTAWI SANA.

  Kila aliyefanikiwa anajua namna gani alifanikiwa. Na ikiwa kama utabahatika kumuuliza aliyefanikiwa,atakwambia “siri” ya mafanikio yake ijapokuwa wengine hawatakwambia kwa sababu za ubinafsi wakiona kwamba usije na wewe ukafanikiwa na kuwapita. Lakini wengi watakwambia. Na jambo la ajabu utashangaa wengi wamefanikiwa kwa njia za uovu fulani bali wachache wametumia njia za haki katika mafanikio… Read More SIRI YA KUFANIKIWA NA KUSTAWI SANA.

UFAFANUZI KUHUSU AKINA MARIAMU WANAOTAJWA KATIKA AGANO JIPYA.

  Mara nyingi umekuwa ukisoma biblia na kukutana hasa na jina hili “Mariamu” . Hivyo jina hili si geni kwako ndivyo ninavyoamini mimi,lakini sidhani kama unajua kuwatofautisha akina Mariamu hao. Hivyo,jifunze sasa; katika agano jipya wanawake sita wana jina la Mariamu. Katika wanawake hao,wengine hawatajwi sana kwenye biblia,labda hawakuwa na habari nyingi kama wale wengine.… Read More UFAFANUZI KUHUSU AKINA MARIAMU WANAOTAJWA KATIKA AGANO JIPYA.

USIKATE TAMAA,MUUJIZA WAKO U KARIBU

Kuna baadhi ya watu katika ndoa wamekata tamaa ya kupata watoto / kuzaa kwa sababu wamekuwa wakihitaji mtoto / watoto kwa muda mrefu,na bado hawajafanikiwa mpaka sasa. Wametumia njia zote wanazozijua wao,matokeo ni bila bila!!! Biblia inasema;   “ Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua…” Mithali 13:12 . Hivyo kwa kuwa wana ndoa wanaposubiri kupata watoto,… Read More USIKATE TAMAA,MUUJIZA WAKO U KARIBU

KWA NINI UNATAKA KUJIUA? – 01.

  “Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, alipoona ya kuwa amekwisha kuhukumiwa, alijuta, akawarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande thelathini vya fedha, akasema, Nalikosa nilipoisaliti damu isiyo na hatia. Wakasema, Basi, haya yatupasani sisi? Yaangalie haya wewe mwenyewe.Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.” Mathayo 27:3-5 Wakati Petro alipomkana Yesu alilia… Read More KWA NINI UNATAKA KUJIUA? – 01.

KANAANI.

  Unaposikia neno “Kanaani” unaelewa nini? Bila shaka utakuwa unaelewa kitu fulani kwa maana jina hili si geni masikioni mwetu. Hivyo ninajaribu kuweka maelezo mafupi kuhusu “Kanaani” kwa mujibu wa biblia  Kanaani ni nini hasa? Kanaani ilikuwa ni nchi iliyochukua jina la mtoto wa Hamu ( Mwanzo 9:18,10:6). Kanaani ndio palestina ( Kwa maana jina… Read More KANAANI.

PENTEKOSTE.

Neno hili “Pentekoste” bila shaka si geni masikioni mwako. Likini unaelewa nini hasa unaposikia likitajwa? Au unaelewa nini pale mtu mmoja akajitambulisha kuwa “ mimi ni mpetekoste…” Bila shaka huna maelezo ya kina au inawezekana hujui kabisa. Na hili ndilo tatizo la walio wengi,“kutumia maneno pasipo kujua ” . Mara ya kwanza niliposikia neno hili… Read More PENTEKOSTE.