MANABII ~ 01.

  Biblia tunayoisoma yenye vitabu 66 yenye muundo wa agano la kale na agano jipya, ni Biblia yenye vitabu vya manabii wa kubwa na manabii wadogo. Ukubwa na udogo wa manabii hutegemea urefu wa vitabu vyao, na si vinginevyo. Hivyo, jumla ya vitabu 16 vya kinabii hupatikana katika agano la kale ( soma hapo chini… Read More MANABII ~ 01.

JIFUNZE KUTIA MOYO./ UNDERSTAND HOW TO ENCOURAGE ONE ANOTHER.👨‍👨‍👧‍👦👫💃

  “ Wakasaidiana, kila mtu na mwenzake, kila mtu akamwambia ndugu yake; Uwe na moyo mkuu. Seremala akamtia moyo mfua dhahabu, na yeye alainishaye kwa nyundo akamhimiza yule apigaye fuawe, akiisifu kazi ya kuunga, akisema, Ni kazi njema; naye akaikaza kwa misumari isitikisike.“ Isaya 41:6-7 Katika maandiko haya tunaona aina tofauti ya mafundi kama vile… Read More JIFUNZE KUTIA MOYO./ UNDERSTAND HOW TO ENCOURAGE ONE ANOTHER.👨‍👨‍👧‍👦👫💃

WALINZI JUU YA KUTA ZAKO ~ 02

“ Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha BWANA, msiwe na kimya; wala msimwache akae kimya, mpaka atakapoufanya imara Yerusalemu, na kuufanya kuwa sifa duniani.“ Isaya 62:6-7 Biblia inasema Bwana ameweka walinzi juu ya kuta za Yerusalemu. Na sio Yerusalemu imeweka walinzi; kwa maana kuna tofauti kati… Read More WALINZI JUU YA KUTA ZAKO ~ 02

WALINZI JUU YA KUTA ZAKO ~ 01

  Mlinzi / Walinzi Ukifanikiwa kwenda bank yoyote ile,kabla ya kuingia,hapo nje utaona mtu aliyevalia mavazi maalumu huku akishikilia bunduki. Tena ukiingia ndani ya bank,utaona mtu mwingine mmoja au zaidi ya mmoja waliojipanga sawa sawa,wenye kubeba silaha wakati wote. Na kama utakaa kihasara hasara,basi ujue utafuatwa na hatimaye utawekwa chini ya ulinzi. Watu wa namna… Read More WALINZI JUU YA KUTA ZAKO ~ 01

HUKUJA NA KITU DUNIANI,TENA HUWEZI KUTOKA NA KITU.

  Kuna siku moja niliona tukio moja kwenye tarevisheni / TV likanishangaza kidogo,lilikuwa ni tukio la mazishi ya mtu mmoja mwenye pesa nchini Nigeria. Mtu huyo katika mazishi yake,watu wa jamii yake wakaamua kumzika na baadhi ya mali zake mfano gari lake. Mimi Sikuelewa!!! Ilikuwa maigizo au ni kweli? Anyway! Wanajua wao. Lakini jambo hili… Read More HUKUJA NA KITU DUNIANI,TENA HUWEZI KUTOKA NA KITU.