NGUVU YA MUAMBATANO

“Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akila, mzalia wa Ponto; naye amekuja kutoka nchi ya Italia siku za karibu, pamoja na Prisila mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi, naye akafikilia kwao;” Matendo 18:2 Ndoa ya Akila na Prisila ni ndoa ya mfano mzuri wa kutufundisha “muambatano” wa mume na mke,kwa maana katika biblia… Read More NGUVU YA MUAMBATANO

ZICHOKOZE MBINGU

“Akainua macho yake akawaona matajiri wakitia sadaka zao katika sanduku la hazina.Akamwona mjane mmoja maskini akitia mle senti mbili. Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote;” Luka 21:1-3 Mjane mmoja kipindi cha Yesu na mitume wake alipata umaarufu mkubwa mpaka akatajwa na Yesu mwenyewe,tena habari zake zikaandikwa kwenye biblia hii tunayoisoma. Kwa sababu… Read More ZICHOKOZE MBINGU

UNIKUMBUKE KUNITAJA KWA WENYE MAMLAKA

“ Ila unikumbuke mimi, utakapopata mema, ukanifanyie fadhili, nakuomba, ukanitaje kwa Farao, na kunitoa katika nyumba hii.” Mwanzo 40:14 Yusufu alipotiwa gerezani na Potifa akida wa Farao kwa kosa la kusingiziwa la kutaka kumbaka mke wa Potifa. Akiwa kule gerezani, kijana safi mwenye Roho wa Mungu ndani yake. Alikutana na maakida wa Farao waliotiwa gerezani… Read More UNIKUMBUKE KUNITAJA KWA WENYE MAMLAKA

IJUMAA KUU

“ Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda,jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Ee Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.” Luka 23:44-46 Mateso ya Bwana Yesu yalimalizikia kwenye mahali paitwapo fuvu la kichwa au kwa Kiebrania ni Golgotha. Wakamsulubisha huko… Read More IJUMAA KUU

NAJUTA KUWAPOTEZA WANANGU KWA SABABU YA UBIZE WANGU!

Huu ni ushuhuda wa mwanamke mmoja asiyejulikana. ▪️Niliolewa nikiwa na miaka 24.Mimi na mume wangu wote tulikuwa daktari wa binadamu.Wote tulizingatia kazi yetu na kwakweli tulifanikiwa katika yote tuliyofanya lakini sio katika malezi ya watoto wetu, damu na nyama yetu. ▪️Tulikuwa na watoto wawili,Kunle wa kwanza na Tola wa pili.Kunle alikuwa ni mdadisi na muuliza… Read More NAJUTA KUWAPOTEZA WANANGU KWA SABABU YA UBIZE WANGU!