WEWE U NANI?/ WHO ARE YOU?

Wewe u nani? Ni swali jepesi kweli lakini ni swali gumu sana kwa maana kile unachoweza kujibu kwa haraka kinaweza kikawa si sahihi. Kama utafanikiwa kuongea na watu watatu tu na kuwauliza swali hili kwa kila mmoja akwambie yeye ni nani hasa? Basi hapo tegemea kupata majibu mengi kuliko utakavyodhania; Kwa sababu majibu utakayoyapata ya… Read More WEWE U NANI?/ WHO ARE YOU?