SIRI YA KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA YAKO.

Kila mfanya biashara hulenga faida maana tunapozungumzia biashara tunazungumzia faida sababu biashara bila faida imekufa kama ilivyo imani bila matendo imekufa. Hakuna awezaye kufanya biashara au kazi yoyote pasipo faida na ndio maana hata Daudi  alipoiendea kazi ya kupambana na Goliath,kwanza akataka kujua atapata faida gani? Naye akawauliza wale watu pamoja na mfalme kwamba atapata… Read More SIRI YA KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA YAKO.

NGUVU YA SADAKA ~06

 (vi)  Sadaka ya shukrani. Ni sadaka unayoitoa kwa Bwana kwa sababu amekutendea mengi makubwa na ya ajabu,tena mengi ambayo hata hukuwahi kuomba,lakini kwa wema wake Bwana amekutendea.Huitaji kuangalia yote,bali anza kuangalia afya yako na kumrudishia Mungu utukufu kwa maana ni wangapi siku ya leo wanatamani wangelikuwa kama wewe kiafya lakini hawakuweza,wengine wamekufa wengine wamelazwa nakadhalika.… Read More NGUVU YA SADAKA ~06

KUTEMBEA NA MUNGU KATIKA UTII~mwisho

03. Kukamatwa na roho ya mazoea. Mungu anasema nasi kwa njia mbalimbali.mojawapo ya njia ambayo Mungu huitumia kusema nasi ni njia ya watumishi wake wanaotuchunga na kutuongoza kiroho. Sauti za wachungaji wa Mungu ni sauti ya Mungu. Lakini leo kunashida ambayo inasumbua wengi hata wameshindwa kuvuka. Wengi wameshindwa kutembea na Mungu ipasavyo kwa sababu ya… Read More KUTEMBEA NA MUNGU KATIKA UTII~mwisho

HUDUMA YA MALAIKA.~01

Ielewe huduma ya malaika  “ Siku moja nilipokuwa kwenye gari langu nikiendesha kutoka Morogoro kupelekea Daresalaam. Nikiwa maeneo ya Msamvu Morogoro, gafla polisi mmoja alinisimamisha nami nikapaki gari yangu pembeni. Yule polisi alionekana akiwa na mtu mmoja hivi,alikuwa akionekana wakiongea na bila shaka walikuwa wakifahamiana. Nami nilikuwa peke yangu ndani ya gari. Kabla sijashuka na… Read More HUDUMA YA MALAIKA.~01