MAMBO MATATU MUHIMU KANISANI.

Kanisa la kweli,msingi wake ni Kristo. Paulo mtume anasema hakuna awezaye kuweka msingi mwingine isipokuwa sote tunajenga katika msingi huu. Lakini kila ajengaye ni lazima awe makini na kazi yake. Msingi ukiwa ni Kristo,basi ni dhahiri Kristo atakuwa ni kiini cha injili na mafundisho yote ya kanisani pamoja na uimbaji wake . ( 1 Wakorintho… Read More MAMBO MATATU MUHIMU KANISANI.

KUSHUGHULIKIA MALANGO YA MJI -02 (tamati)

Utii na uwajibikaji Unaposhughulikia malango ya mji wako,ni lazima utii kufanya sawa sawa na kile unachoambiwa na Bwana. Biblia inatuambia Yoshua aliwaambia Israeli wawe na ukimya,wala wasipige kelele hata watakapo maliza mzunguko wao wa siku saba kuzunguka mji mara saba,ndipo watapiga kelele – Yoshua 6:10  Hivyo watu wote iliwapasa kuwa kimya kwa muda wote wakisubiri… Read More KUSHUGHULIKIA MALANGO YA MJI -02 (tamati)

KUSHUGHULIKIA MALANGO YA MJI- 01

“Basi Yeriko ulikuwa umefungwa kabisa kwa sababu ya wana wa Israeli; hapana mtu aliyetoka wala hapana mtu aliyeingia.” Yoshua 6:1 Yeriko ulikuwa mji wenye pilika pilika kama miji mingine,watu walikuwa wakinunua na kuuza kama kawaida. Lakini pia Yeriko ulikuwa ni mji wenye uongozi unaoeleweka,kwa maana kulikuwapo na mfalme,kulikuwako na mashujaa wa vita,tena kulikuwako na fedha,dhahabu… Read More KUSHUGHULIKIA MALANGO YA MJI- 01

OMBA UKIAMINI.

“Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.” Waebrania 11:6 Nataka ukamatie neno hili“mtu akimwendea Mungu lazima aamini…” Kuomba ni moja ya njia ya kumwendea Mungu. Na katika njia hii unaambiwa ni lazima uamini. Neno “lazima” limeandikwa hapo kwa maana kubwa kabisa… Read More OMBA UKIAMINI.

BWANA ATAKOMESHA MATESO.

” Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili.” Nahumu 1:9 Ni kitu gani kinachokutesa? Ni wapi unapoteseka? Bwana asema Yeye atakomesha kabisa mateso,hayatainuka mara ya pili,lakini unawaza nini juu yake? Swali hili linakutaka kujua ni nini kinachoendelea kwenye mateso unayoyapitia? Je katika hayo,unamwona Bwana? Au kitika hayo bado unayo… Read More BWANA ATAKOMESHA MATESO.