AINA TATU YA WATU UNAOWAHITAJI KWENYE HATMA YAKO – 3

“na kwa kuwa kazi yao ya ufundi ilikuwa moja, akakaa kwao, wakafanya kazi pamoja, kwa maana walikuwa mafundi wa kushona hema.” Matendo 18:3 Anayekupa michongo ya kazi au huduma Paulo alipomwona Akila akagundua kazi zao zinafanana,hivyo wakakaa pamoja katika ufundi wa kushona mahema.  Akila alimwihitaji Paulo,naye Paulo alimwihitaji Akila kwa sababu Akila alikuwa na connection… Read More AINA TATU YA WATU UNAOWAHITAJI KWENYE HATMA YAKO – 3

AINA TATU YA WATU UNAOWAHITAJI KWENYE HATMA YAKO – 2

Mwombezi na mtia moyo Kawaida ya watu wengi tunaokutana nao katika maisha ya kila siku ni aina ya watu wakatisha tamaa na wavunja mioyo yetu. Neno “huwezi’’ tumeambiwa mara nyingi tangu utotoni na sasa tumejikuta hatuwezi kweli lakini sio kwamba hatuwezi,bali wakatisha tamaa wameumba kushindwa na hatimaye tumejikuta tukitembea katika roho ya kushindwa Wengine wengi… Read More AINA TATU YA WATU UNAOWAHITAJI KWENYE HATMA YAKO – 2

AINA TATU YA WATU UNAOWAHITAJI KWENYE HATMA YAKO – 1

Mwinjilisti Simon Mabula wa kanisa la Beroya Church-Dar,Tanzania aliwahi kutufundisha kanisani siku moja Jumapili ya tarehe 4,Feb,2024 . Kuhusu watu tunaowahitaji katika maisha yetu ya kila siku tunapoelekea kwenye hatma zetu. Nami naona vyema nikuandikie ili nawe ujifunze  Watu wanaotuzunguka wana mchango mkubwa kutuwezesha au kutukwamisha Inawezekana hivyo ulivyo sasa ni kwa sababu ya aina… Read More AINA TATU YA WATU UNAOWAHITAJI KWENYE HATMA YAKO – 1

KUWA WEWE,KUWA HALISI !

“Ndipo Sauli akamvika Daudi mavazi yake ya vita, akamtia chapeo cha shaba kichwani, akamvika dirii.Naye Daudi akajifunga upanga juu ya mavazi yake, akajaribu kwenda; maana alikuwa hajavijaribu. Daudi akamwambia Sauli, Siwezi kwenda na vitu hivi, maana sikuvijaribu. Basi Daudi akavivua.” 1 Samweli 17:38-39 Sauli mfalme wa Israeli anamvika mavazi ya kivita kijana mdogo wa Kiebrania… Read More KUWA WEWE,KUWA HALISI !

USIJIFUNZE KWA WAPUMBAVU WALIOFANIKIWA.

Na Mwl. Edwin Nsyani  ◼️Tafakari pamoja nami neno hili ambalo Roho Mtakatifu amesema nami alfajiri ya leo. 👉🏻Kuna msemo tumeuzoea sana mtaani kwamba tunapaswa kujifunza kwa WALIOFANIKIWA.Ni kweli kabisa,lakini Roho wa Mungu anaonya kwamba tusijifunze kwa WAPUMBAVU WALIOFANIKIWA. ✅Biblia inayo tafsiri moja wapo ya neno mpumbavu; [1 *Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;* Wameharibu matendo yao… Read More USIJIFUNZE KWA WAPUMBAVU WALIOFANIKIWA.

SIRI YA KUFANIKIWA NA KUSTAWI SANA.

  Kila aliyefanikiwa anajua namna gani alifanikiwa. Na ikiwa kama utabahatika kumuuliza aliyefanikiwa,atakwambia “siri” ya mafanikio yake ijapokuwa wengine hawatakwambia kwa sababu za ubinafsi wakiona kwamba usije na wewe ukafanikiwa na kuwapita. Lakini wengi watakwambia. Na jambo la ajabu utashangaa wengi wamefanikiwa kwa njia za uovu fulani bali wachache wametumia njia za haki katika mafanikio… Read More SIRI YA KUFANIKIWA NA KUSTAWI SANA.

NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA NA KUIENDELEZA. ~ 02. Tamati.

  Kumbuka,ikiwa wewe ni mwajiliwa basi ujue kuna siku hautakuwa hapo ofisini kwa maana sio ofisi yako. Swali la kujiuliza,kazi ikiisha hapo utakuwa wapi?. Au mwenye mwajiri akisema leo “sikutaki tena kwenye ofisi zangu,nasitisha mkataba na wewe,kwa heri…” wewe utaenda wapi? Utakuwa mgeni wa nani? Usijibu kwa haraka haraka eti unasema utaenda kutafuta kazi ofisi… Read More NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA NA KUIENDELEZA. ~ 02. Tamati.

KUANZISHA BIASHARA NA KUIENDELEZA. ~ 01.

  Kwa kuwa wengi wametia mikono kuandika mambo ya biashara,nami leo ninaweka mkono wangu katika nyanja ya uchumi na biashara. Utofauti mkubwa kwa wale wanaoandika mambo ya biashara na mimi ninaekuandikia leo ni kwamba “ Wao huandika kikawaida,bali ninakuandikia kiroho,ingawa mengine ni kawaida kabisa“.Si vibaya ukajifunza mambo muhimu katika eneo la kibiashara. Tatizo kubwa la… Read More KUANZISHA BIASHARA NA KUIENDELEZA. ~ 01.

SIRI YA KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA YAKO.

Kila mfanya biashara hulenga faida maana tunapozungumzia biashara tunazungumzia faida sababu biashara bila faida imekufa kama ilivyo imani bila matendo imekufa. Hakuna awezaye kufanya biashara au kazi yoyote pasipo faida na ndio maana hata Daudi  alipoiendea kazi ya kupambana na Goliath,kwanza akataka kujua atapata faida gani? Naye akawauliza wale watu pamoja na mfalme kwamba atapata… Read More SIRI YA KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA YAKO.

WEWE PIA ULIFUNDISHWA KUTAFUTA THAMANI YA “X”?

Na Mwl. Andrea G.Muhozya. Semper Fi,  “ Mungu ni mwema tunakutana tena. Leo naanza na swali la “mathematics” kidogo kutukumbusha tulikotoka! Hahaaa wale wenzangu HGL na KLF nk tupo?” :::::::::::::::::::::::::::::::: SWALI: X + (1⁄2)X + 1 = 100 Tafuta thamani ya X :::::::::::::::::::::::::::::::: Kuna makundi mawili ya watu hapa. Kuna kundi ambalo swali hilo hapo… Read More WEWE PIA ULIFUNDISHWA KUTAFUTA THAMANI YA “X”?

MAMBO MATATU MUHIMU KATIKA KUTIMIZA NDOTO YAKO.

Mwenye ndoto afanye nini aweze kuitimiza ndoto yake? Je una ndoto? Je una ndoto ya namna gani? Je umewahi kujiuliza kwamba ufanye nini uweze kuitimiza ndoto yako? Mimi nami ninayo ndoto yangu ambayo natamani niifikie,lakini ni vyema nikajiuliza swali hilo kwamba nifanye nini ndoto yangu itimie. Na wewe usomaye una ndoto fulani katika maisha yako… Read More MAMBO MATATU MUHIMU KATIKA KUTIMIZA NDOTO YAKO.

MY STORY MANY DON’T KNOW ~ By ROBIN SHARMA (Author of THE MONK WHO SOLD HIS FERRARI)

(Copied from his Page) ✔ Brought by ANDREA G.MUHOZYA I grew up in a small town in Cape Breton, on the East Coast of Canada. Humble beginnings. Tiny white house. In school, many didn’t think I’d amount to anything. And they told me this. Socially, I didn’t fit in. I just saw the world differently.… Read More MY STORY MANY DON’T KNOW ~ By ROBIN SHARMA (Author of THE MONK WHO SOLD HIS FERRARI)

THE REASON WHY YOU WILL NOT BE VERY SUCCESSFUL! (MAANDALIZI… SABABU ITAKAYOKUNYIMA MAFANIKIO)

Bwana Yesu asifiwe… Karibu katika kona ya “kijana jitambue” PREPARATION….!  Watu wengi saaana duniani wanawaza kufanikiwa. Tena siyo kufanikiwa tu kufanikiwa sana! Kitu kimoja nimejifunza kuhusu kufanikiwa sana ni kwamba huwezi kufanikiwa #sana kama hujajiandaa kufanikiwa #sana!  Mafanikio makubwa hayaji kwa maandalizi madogo! Mafanikio makubwa yanakuja kwa maandalizi makubwa tena ya muda mrefu. Sasa unataka… Read More THE REASON WHY YOU WILL NOT BE VERY SUCCESSFUL! (MAANDALIZI… SABABU ITAKAYOKUNYIMA MAFANIKIO)

*KIPI HUNA KATI YA HIVI: NDOTO, MALENGO,  MIPANGO, NA NIA YA DHATI? AU HUNA VYOTE?*

 Kila siku iitwapo leo nakutana na kuwasiliana na vijana wenzangu kutoka kila pembe ya nchi hii na wananiambia wanataka kufanikiwa. Katika kuzungumza na kila mtu ninazidi kujifunza vitu vingi. Nimeona nikushirikishe wewe pia huenda vikakusaidia.  So, nimejifunza kuwa kuna vijana wa aina 4. *KUNDI LA KWANZA* Hawa hawana ndoto (dreams)❌, wala malengo (goals)❌, wala mipango… Read More *KIPI HUNA KATI YA HIVI: NDOTO, MALENGO,  MIPANGO, NA NIA YA DHATI? AU HUNA VYOTE?*

NGUVU NA MUDA VIKIISHA MWENYE NDOTO ATAFANYA NINI ?

BWANA YESU ASIFIWE… WHAT WOULD A DREAMER DO WHEN THEIR ENERGY AND TIME IS GONE? Hapa Sinza kuna mahali panaitwa Sinza Makaburini. (Nadhani unaelewa kwa nini panaitwa hivyo). Kuna siku nilikuwa narejea nyumbani kutoka kwenye “mishe mishe” zangu. Late night. Saa nne hivi usiku. Nikapita eneo hilo upande zinakopaki taxi kwa wanaopafahamu. Niko natembea kwa… Read More NGUVU NA MUDA VIKIISHA MWENYE NDOTO ATAFANYA NINI ?