NGUVU YA SADAKA.~02

ii) Sadaka ya kawaida. Hii ni aina ya sadaka tunayoitoa mara kwa mara tuwapo kanisani. Badala ya wanyama leo tunatoa pesa au mali zetu kwa Bwana kama nafasi ya kumtumikia Bwani. Lakini kumbuka sadaka zinapaswa zitolewa kupitia msingi mmoja wa “pendo” kwamba yeyote anayemtolea Bwana hana budi atoe kwa moyo wa kupenda (2 Wakorintho 9:7a).… Read More NGUVU YA SADAKA.~02

TAFUTA AMANI NA WATU WOTE.

“Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;” Waebrania 12:14 Miaka fulani iliyopita nilikuwa nikitafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba yangu niweze kuishi mimi na familia yangu. Unajua tena,kupanga kulinichosha maana nilipokuwa nimepanga nilijihisi kana kwamba nipo utumwani Misri hali nimeokoka. Wakati nilipokuwa… Read More TAFUTA AMANI NA WATU WOTE.

HEKIMA YA MUNGU

Hata siku ya mwisho, siku ile kubwa ya sikukuu, Yesu akasimama, akapaza sauti yake akisema, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe.Aniaminiye mimi, kama vile maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake.” Yoh.7:37-38 Maandiko hayo yanaeleza kuhusu “Roho mtakatifu” lakini pale biblia inasema “mito ya maji itatoka ndani yake” yaani kwa kumwamini… Read More HEKIMA YA MUNGU

WEKA MAOMBI KUWA KIPAUMBELE CHAKO.

“ Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.” Yoshua 24:15 Yoshua mwana wa Nuni,ameona kuwaambia watu wote kuhusu kipaumbele chake cha… Read More WEKA MAOMBI KUWA KIPAUMBELE CHAKO.

MAMBO MATATU MUHIMU KATIKA KUTIMIZA NDOTO YAKO.

Mwenye ndoto afanye nini aweze kuitimiza ndoto yake? Je una ndoto? Je una ndoto ya namna gani? Je umewahi kujiuliza kwamba ufanye nini uweze kuitimiza ndoto yako? Mimi nami ninayo ndoto yangu ambayo natamani niifikie,lakini ni vyema nikajiuliza swali hilo kwamba nifanye nini ndoto yangu itimie. Na wewe usomaye una ndoto fulani katika maisha yako… Read More MAMBO MATATU MUHIMU KATIKA KUTIMIZA NDOTO YAKO.