ATHARI YA MADARAKA YA KUPEANA KINDUGU

 “na jina lake mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu, binti Ahimaasi. Tena, jina la jemadari wa jeshi lake aliitwa Abneri, mwana wa Neri, aliyekuwa baba mdogo wa Sauli.” 1 Samweli 14:50 Historia ya biblia inatumbia ya kwamba,tangu enzi hizo za wafalme,kulikuwa na baadhi ya watala waliotumia madaraka yao vibaya kwa kuwapendelea na kuwajali zaidi ndugu zao hata… Read More ATHARI YA MADARAKA YA KUPEANA KINDUGU

UJASIRI

“Ujasiri / courage” Ni uwezo wa kufanya vitu ambavyo mtu mwingine anaviogopa. Au ni hali/ kiwango cha kuwa na uthubutu kisha kutenda bila hofu. Ni uwezo wa kuwa chanya / positive na kuona kwamba unaweza kufanya kitu ambacho wengine wamesema hawawezi. Ujasiri ni kufanya kiume (1Wakorintho 16:13). Ujasiri ni moyo kamili wa Mungu,(Yeye ndiye chanzo… Read More UJASIRI

VITA YA AMALEKI

  “Yoshua akawaangamiza Amaleki na watu wake kwa ukali wa upanga. BWANA akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.Musa akajenga madhabahu, akaiita jina lake Yehova-nisi; akasema, BWANA ameapa; BWANA atakuwa na vita na Amaleki kizazi baada… Read More VITA YA AMALEKI

UINJILISTI NI KAZI YAKO,USIIKWEPE !.

Lengo la fundisho hili ni kukumbusha wajibu wako wewe mkristo,kwamba hukuitwa uwe mkristo alafu basi uishie hapo hapo bali umeitwa ili uwashuhudie wengine waliopotea dhambini. Kumbe unayo kazi ya kufanya. Kazi hii ya kumuhubiri Yesu haiangalii jinsia yako,umri wako,rangi yako,uzuri / urembo wako,kabila lako Bali kinachoangaliwa ni kimoja tu,Je umeokoka? Ikiwa ndio,basi na ujihesabu hivi,“wewe… Read More UINJILISTI NI KAZI YAKO,USIIKWEPE !.

TENDO LA NDOA NI TAKATIFU ( SEX IS HOLY IN MARRIAGE)

“ Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.” 1 Wakorintho 7:3 Tukumbuke kwanza, kwamba tendo la ndoa kwa wanandoa ni zawadi kutoka kwa Mungu mwenyewe. Lakini zawadi hii inaweza ikageuka kuwa tanzi/ubaya ikiwa litafanywa nje ya maelekezo ya Mungu (nje ya Neno). Mfano mwanandoa anapombaka mwenzake,ni makosa.… Read More TENDO LA NDOA NI TAKATIFU ( SEX IS HOLY IN MARRIAGE)

KUOKOKA KUNA MAANA GANI HASA?

Kulikuwa na vijana watatu ambao waliokuwa wana desturi ya kwenda kuogelea kwenye bahari kwenye misimu ya sikukuu. Siku moja kwenye sikukuu,wenyewe wakiwa “wameulamba” tayari kwa mtoto wao kwenda bichi kuogelea. Wakiwa tayari wote watatu wamebadili nguo zao kisha wakawa “ wakipiga mbizi“,’mara wote watatu wakapelekwa mbali na mawimbi makali siku hiyo. Wakiwa katika hali ya… Read More KUOKOKA KUNA MAANA GANI HASA?

MUNGU ATAKUOKOA.

“Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu,Kwa kuwa amenijua Jina langu.” Zab.91:14 Neno “kukaza” lina maana ya kungangana katika kuendelea bila kuchoka au kukata tamaa. Hivyo ukikaza kumpenda Bwana unakuwa na hali ya kuendelea kujitoa kwake bila kukata tamaa wala kuangalia mambo mengine yote. Ni kweli kwamba,ukikaza kwa Bwana,Bwana atakuokoa.  Mstari huu,umebeba uwajibikaji… Read More MUNGU ATAKUOKOA.

USIWE NA TABIA YA KUPENDA FEDHA.

“ Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.” Waebrania 13:5 Tabia sugu tuliyonayo wengi ni kupenda fedha kupindukia hata kujisahau katika kusudi tuliloitiwa. Pesa inatabia ya kubadilisha kusudi,au watu . Waswahili wanasema“pata pesa tuijue tabia yako” hawajakosea kwa kauli hii.… Read More USIWE NA TABIA YA KUPENDA FEDHA.

ADHABU YA KULIWA NA CHANGO MADHABAHUNI.

Fundisho hili linawahusu watu wote hususani wale wanaohudumu kanisani kwenye nafasi mbali mbali,mfano waimbaji,wakuu na viongozi wa idara mbali mbali,pamoja na wale waliopo katika zile huduma tano( Waefeso 4:11) Mpango wa Mungu sio kutoa adhabu kwa watu wake,bali mpango wake ni kuwafanya watu kumtumikia Yeye tu kwa moyo,roho akili na nguvu zote. Lakini panapo stahili… Read More ADHABU YA KULIWA NA CHANGO MADHABAHUNI.