MWONGOZO WA UINJILISTI WA NYUMBA KWA NYUMBA.

01.Uinjilisti wa nyumba kwa nyumba,nini maana yake? Uinjilisti ni uinjilisti,lakini tunapozungumzia “..wa nyumba kwa nyumba” Tunamaana ya kumtangaza/kumhubiri Yesu nyumba moja hadi nyingine,mtaa kwa mtaa pasipo kuangalia imani ya wenyeji/wakazi wa nyumba wala pasipo kuangalia itikadi za chama,kabila,rangi n.k. Na kwa sababu ni kazi ya kujitoa hasa,wengi wamejikuta wakiisukumia mbali. Lakini ndio kazi kubwa ya… Read More MWONGOZO WA UINJILISTI WA NYUMBA KWA NYUMBA.

MWANA-KONDOO WA MUNGU (Yoh.1:29)

Dhambi ilipoingia ulimwenguni ilimtenga mwanadamu na Mungu wake. Mtu yule aliyekuwa shirika na Mungu sasa hana shirika tena,yupo mbali na Mungu wake kwa sababu ya dhambi. Dhambi siku zote husimama kama ukuta utengao magharibi na mashariki au kaskazini na  kusini hata kushindwa kuonana na ndivyo tunavyotengwa sisi na Mungu wetu pale dhambi ikichukua nafasi ndani… Read More MWANA-KONDOO WA MUNGU (Yoh.1:29)