“ UMEOMBA NENO GUMU ”

“akasema, Umeomba neno gumu; lakini, ukiniona nitakapoondolewa kwako, utalipata; la hukuniona, hulipati.” 2 Wafalme 2:10 Suala sio umeomba vibaya,bali ulichokiomba ni kitu kigumu sana. Hayo yalikuwa ni maneno ya Eliya nabii wa Bwana.  Wakati Bwana alipokusudia kumtwaa nabii wake Eliya,Bwana alifunua siri hiyo ya kutwaliwa kwa Eliya, kwa maana wana wa manabii walikuwa wakijua, Elisha… Read More “ UMEOMBA NENO GUMU ”

KIPIMO CHA PENDO

“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.” Yoh.3:16 Kabla ya kuchambua huo mstari,ebu jiulize kidogo katika hali ya kawaida ya kwamba,utajuaje kama uliyenaye anakupenda? utatumia kipimo gani kutambua unapendwa hakika? Ukweli ni kwamba,unaweza ukawa na vigezo vingi vya kujua kama… Read More KIPIMO CHA PENDO

ATHARI YA MADARAKA YA KUPEANA KINDUGU

 “na jina lake mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu, binti Ahimaasi. Tena, jina la jemadari wa jeshi lake aliitwa Abneri, mwana wa Neri, aliyekuwa baba mdogo wa Sauli.” 1 Samweli 14:50 Historia ya biblia inatumbia ya kwamba,tangu enzi hizo za wafalme,kulikuwa na baadhi ya watala waliotumia madaraka yao vibaya kwa kuwapendelea na kuwajali zaidi ndugu zao hata… Read More ATHARI YA MADARAKA YA KUPEANA KINDUGU

MADHARA YA KUAMBATANA NA WATU WASIO SAHIHI

Ukweli ni kwamba watu wanaokuzunguka kila siku,wana sehemu kubwa sana katika maisha yako. Hii ni sawa na kusema kwamba,watu wanaokuzunguka wana mchango mkubwa sana katika hatma yako, Kwa maana kupitia wao wanaweza kukusaidia kupiga hatua, ambalo ni jambo jema. Lakini kupitia wao unaweza ukacheleweshwa,ukakwama katika mambo mengi. Jifunze machache kupitia picha ya hapo juu,kabla ya… Read More MADHARA YA KUAMBATANA NA WATU WASIO SAHIHI

K A N U N I Y A M A U M B I L E

Na Christian Bwaya (Mwandishi) Tunaishi kwenye nyakati ambazo kuchelewa kunaonekana ni tatizo. Ukifungua clip WhatsApp na unaona inachelewa kufungua unaachana nayo. Ukitazama clip inazidi dakika moja huoni ujumbe unaachana nayo. Utafikiri tuna mambo mengi kivile kumbe basi tu maisha yanatusisitiza ‘fasta fasta.’ Tunapima mafanikio kwa uharaka wa mambo kutokea. Unafanya kazi mwaka wa pili huoni… Read More K A N U N I Y A M A U M B I L E