KUOLEWA

Tunao mifano michache katika biblia juu ya wanawake walioolewa. Mfano mzuri ni Rebeka binti wa Bethueli mwana wa Milka mkewe Nahori ( Mwanzo 24:10-67).Binti huyu ni mfano wa binti aliyetunzwa na kujitunza kweli kweli na hatimaye alipata neema ya kuolewa na Isaka mtumishi wa Mungu. Hivyo ukifuatilia wale wote walioolewa katika biblia utagundua kwamba “kuolewa… Read More KUOLEWA

WEWE PIA ULIFUNDISHWA KUTAFUTA THAMANI YA “X”?

Na Mwl. Andrea G.Muhozya. Semper Fi,  “ Mungu ni mwema tunakutana tena. Leo naanza na swali la “mathematics” kidogo kutukumbusha tulikotoka! Hahaaa wale wenzangu HGL na KLF nk tupo?” :::::::::::::::::::::::::::::::: SWALI: X + (1⁄2)X + 1 = 100 Tafuta thamani ya X :::::::::::::::::::::::::::::::: Kuna makundi mawili ya watu hapa. Kuna kundi ambalo swali hilo hapo… Read More WEWE PIA ULIFUNDISHWA KUTAFUTA THAMANI YA “X”?

MATESO YA MWENYE HAKI,NI MTAJI WA MAISHA YAKE.

baba yangu wa kiroho anasimulia kwa ufupi akiwa anafundisha ibadani siku moja. Anasema alizaliwa kijijini eneo fulani lenye milima milima na akasomea huko kwa shida fulani hivi kwa kuwa kipindi kile hakikuwa na maendeleo kama ya leo, hivyo elimu ya Tanzania kwa sehemu kubwa ilikuwa ni elimu ya shida sana. Lakini yeye,alipokuwa mwanafunzi alisoma kwa… Read More MATESO YA MWENYE HAKI,NI MTAJI WA MAISHA YAKE.