MTAWALA MPYA ASIYEMJUA MWENYE HAKI!

Kitabu cha Mwanzo kinaishia  na wana wa Israeli wakiwa Misri pasipo utumwa  (kwa maana utumwa ulikuwa bado hujainuka). Ikumbukwe ya kwamba, Misri ilikuwa ni sehemu yenye ustaarabu pamoja na maendeleo makubwa ukilinganisha na maeneo mengine.   Katika kipindi cha njaa ya miaka saba,Yakobo na wanawe walijikuta wakiwa ndani ya Misri na wakimwinamia Yusufu ambaye alikuwa… Read More MTAWALA MPYA ASIYEMJUA MWENYE HAKI!

CHUKI.

Neno hili“chuki”ni neno dogo sana lakini lina matokeo makubwa sana. Sikudhani kama “chuki” limebeba mambo mengi kiasi hiki. Hivyo ni vyema tutafakari kuhusu “chuki ” ,ili tupone! Awali ya yote chuki ni kinyume cha upendo. Na ndio maana ukisikia mtu akisema “fulani anakuchukia…” basi maana yake “fulani hakupendi..”. Hata hivyo,tunaweza kuitasfiri tena chuki kama hisia… Read More CHUKI.

MIJI MITATU AMBAYO YESU ALIFANYA MIUJIZA MINGI.

“ Ndipo akaanza kuikemea miji ile ambamo ndani yake ilifanyika miujiza yake iliyo mingi, kwa sababu haikutubu.” Mathayo 11:20 Ilifika wakati Yesu aliikemea miji mitatu ambayo kwa kweli kazi ya Mungu ilidhihilishwa kwao,kwa kuwa na shingo ngumu,hawakuweza kutubu. Watu wa miji hiyo hawakumwamini kuwa ndiye masihi wa Bwana, ingawa walisikia na kuona mengi yaliyotendeka. “… Read More MIJI MITATU AMBAYO YESU ALIFANYA MIUJIZA MINGI.

IMANI IOKOAYO.

 Awali ya yote,kumbuka ya kwamba imani ni daraja la majibu yako yote kwa maana pasipo imani huwezi ukampendeza Mungu (Waebrania 11:6).Hata hivyo kitendo cha kuamini uwepo wa Mungu ni mwanzo tu wa imani. Unaposoma somo la imani utagundua kwamba mataifa huamini tofauti na wapendwa, kwa maana watu wa dunia kwanza nilazima waone hata kugusa ndipo… Read More IMANI IOKOAYO.