FILIMBI YA MPIRA.

Filimbi ya mpira au kwa lugha nyingine “kipenga cha mpira” Katika  mechi ya mpira wa miguu kuna timu mpili zinazoshindana. Kila timu inajitahidi imshinde mwenzake,lakini kuna mtu mmoja yeye sio mchezaji wa timu iwayo yote,mara nyingi huyu mtu husimama katikati hapo mwanzo,kisha akizunguka huku na huku akikimbia kimbia kana kwamba anacheza lakini hachezi bali huchezesha… Read More FILIMBI YA MPIRA.

MAOMBI / PRAYERS~11

Kuna baadhi ya vizuizi/pingamizi katika maombi. Pingamizi hizi zinaweza kuletwa na Ibilisi au wakati mwingine mwombaji anaweza akajiwekea mwenyewe pingamizi kwa kujua au piasipo kujua. mfano baadhi tu ya pingamizi/vizuizi hivyo ni kama ifuatavyo; (i) Dhambi tunazoendelea kutenda. Tunafahamu ya kwamba dhambi ni ukuta wa kukuzuia kuomba,tena hata kupoteza imani ya kupokea kile ukiombacho. Kuna… Read More MAOMBI / PRAYERS~11

MAOMBI / PRAYERS~10

04. MIFANO YA WAOMBAJI WALIOFANIKIWA KATIKA MAOMB YAO. Biblia imewataja waombaji wengi waliofanikiwa katika maombi yao,wote hawa wanatufundisha leo kwamba Mungu husikia maombi ya mwombaji. Wapo wengi ambao ni waombaji wazuri waliotajwa kwenye biblia,lakini leo nataka tuwatizame kwa ufupi waombaji saba akiwemo Yesu mwenyewe ingawa Yeye alikuwa Mungu.  Tukianza kumuangalia Bwana Yesu,Yeye mwanzilishi wa imani… Read More MAOMBI / PRAYERS~10