MAKANISA SABA.

Kwenye kitabu cha Ufunuo sura ya 2 &3,tunasoma kuhusu makanisa yale saba. Kuna mambo mengi na kushangaza kuhusu haya makanisa saba,hata hivyo ninajaribu tu kutafakari kwa ufupi kati ya mengi yanayoweza kupatikanika kwenye haya makanisa. Nilipata neema ya kutembelea kwenye haya makanisa,ambapo kwa sasa hakuna kilichobakia isipokuwa ni magofu. Lakini kanisa la Smirna limeendelezwa,na lipo… Read More MAKANISA SABA.