KUPANDA MBEGU NA BWANA – 4

3. Ombea sadaka za mbegu zako vizuri  Sadaka ya mbegu inahitaji maombi ya kina.  Pamoja na mchungaji aweza kukuongoza wakati wa ibada ya kupanda mbegu, lakini mpandaji / mtoaji anapaswa awe na maombi yake binafsi kwa sababu ni yeye ndiye hasa mtoaji 4. Hakikisha unampa nafasi ya kutosha Roho Mtakatifu Yeye Roho mtakatifu ndiye atakayekuongoza… Read More KUPANDA MBEGU NA BWANA – 4

KIPIMO CHA PENDO

“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.” Yoh.3:16 Kabla ya kuchambua huo mstari,ebu jiulize kidogo katika hali ya kawaida ya kwamba,utajuaje kama uliyenaye anakupenda? utatumia kipimo gani kutambua unapendwa hakika? Ukweli ni kwamba,unaweza ukawa na vigezo vingi vya kujua kama… Read More KIPIMO CHA PENDO

KUWA MAKINI NA MAHALI UTOAPO SADAKA ZAKO

“Ujihadhari usitoe sadaka zako za kuteketezwa katika kila mahali upaonapo;” Kumb.12:13 Kwa kuwa sadaka ni ukamilifu wa ibada,hivyo ni jambo muhimu sana linalopaswa kuangaliwa kwa umakini,na kuheshimiwa. Kwa sababu hiyo Neno linakutaka uwe makini sana na sadaka yoyote unayoitoa, hasa kwa kuzingatia ni wapi unapoitoa sadaka yako. “ujihadhari” sana na sadaka na madhabahu gani unakopeleka… Read More KUWA MAKINI NA MAHALI UTOAPO SADAKA ZAKO

KWA NINI MUNGU ALIIPOKEA SADAKA YA HABILI, NA KUIKATAA SADAKA YA KAINI?

“ Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. BWANA akamtakabali Habili na sadaka yake; bali Kaini hakumtakabali, wala sadaka yake. Kaini akaghadhibika sana, uso wake ukakunjamana.“ Mwanzo 4:4-5 Mtu mmoja akanichekesha akasema labda kwa sababu Mungu anapenda nyama, sio mboga mboga ndio maana aliipokea sadaka ya Habili .… Read More KWA NINI MUNGU ALIIPOKEA SADAKA YA HABILI, NA KUIKATAA SADAKA YA KAINI?

NGUVU YA SADAKA ~09 (Tamati)

(ix) Sadaka kwa wahitaji  – ( Luka 19:8,Warumi 15:25-27) Wahitaji ni watu ambao wamepungukiwa au kukosa kabisa mahitaji muhimu kama vile chakula,mavazi na malazi,au wale waliokuwa hawawezi (wagonjwa) wanaohitaji msaada wa kutibiwa. Kundi lote la watu namna hiyo,huitwa ni “wahitaji” ambao hawanabudi kusaidiwa.Biblia inataja kwamba maskini wapo siku zote na hawatakoma (Kumb.15:11,Mathayo 26:11) Hii ina… Read More NGUVU YA SADAKA ~09 (Tamati)

NGUVU YA SADAKA ~06

 (vi)  Sadaka ya shukrani. Ni sadaka unayoitoa kwa Bwana kwa sababu amekutendea mengi makubwa na ya ajabu,tena mengi ambayo hata hukuwahi kuomba,lakini kwa wema wake Bwana amekutendea.Huitaji kuangalia yote,bali anza kuangalia afya yako na kumrudishia Mungu utukufu kwa maana ni wangapi siku ya leo wanatamani wangelikuwa kama wewe kiafya lakini hawakuweza,wengine wamekufa wengine wamelazwa nakadhalika.… Read More NGUVU YA SADAKA ~06