HAZINA YA WATOTO.

  “ Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.” Kumb. 6:6-7 Imekuwa ni utaratibu wa Kiyahudi tangu enzi hizo hata sasa, kuwafunga watoto wao utepe ulioandikwa sheria za Mungu kwenye mikono au kuvaa shingoni… Read More HAZINA YA WATOTO.

AGANO LA KALE ~ 03/tamati

Hata hivyo,vitabu mashairi vinasisimua kwa ujumbe uliobebwa,utafikiri ni unabii fulani ukielezwa. Robo tatu ya agano la kale ni mashairi ( vitabu vitano),sehemu hii,tunafundishwa mengi,mfano; Kitabu cha AYUBU kinajibu swali la msingi “ kwa nini mwenye haki anaweza kuteseka“ Kitabu cha ZABURI ni kitabu cha maombi na sifa mbele za Mungu. Kitabu cha MITHALI,hekima ndio inayosemwa… Read More AGANO LA KALE ~ 03/tamati

MWANA-KONDOO ASIYEKUWA NA ILA

Kitabu cha Kutoka 12 yote inazungumzia mambo makubwa mawili,“Pasaka/ukombozi na mikate isiyochachwa ( The Passover and the Festival of Unleavened Bread) ” . Moja kati ya maelekezo muhimu waliyopewa Waisraeli walipokuwa wakijiandaa kutoka utumwani Misri,ilikuwa ni kumchinja pasaka/Mwana-Kondoo mume wa mwaka mmoja “asiyekuwa na ila” – Kutoka 12:5. Neno “ila” ni “dosari / upungufu“,Hivyo;Bwana aliwataka… Read More MWANA-KONDOO ASIYEKUWA NA ILA

AGANO

  Agano / Covenant Ni aina ya makubaliano ya kudumu baina ya pande mbili tofauti. Agano ni zaidi ya mkataba kwa maana mkataba una muda wake wa kuisha,bali agano hudumu katika muda usiojulikana kuisha kwake. Mbali na maagano makubwa mawili tuyajuayo ( Agano la kale na agano jipya),biblia ni kitabu kinachoeleza kwa undani kuhusu “maagano… Read More AGANO

AGANO LA KALE ~ 02

Baada ya vitabu vya sheria vitano,vitabu vya historia vinafuata. Kwa sehemu kubwa tunaona Israeli akishindwa kutii,na kuangukia dhambini kulikompelekea kwenye “uhamisho wa Babeli” ( exile). Hata hivyo kwa neema ya Mungu, aliwarudisha watu wake. Vitabu hivi vinaweza kugawanywa katika makundi matatu; Mungu akitawala mwenyewe – Wakati Mungu mwenyewe anaiongoza nchi,serikali hiyo huitwa“theocracy“. Mfano wa vitabu… Read More AGANO LA KALE ~ 02