UPENDO / LOVE.

Upendo ni amri iliyo kuu tena ndiyo amri ya kwanza ( Mathayo 22:37-40). Na katika upendo amri zote na unabii wote unashikiliwa hapo ( All the Law and the Prophets hang on these two commandments.”). Hivyo, Upendo ndio utimilifu wa sheria ( Warumi 13:10). Hii ina maana kule kusema usiibe,au usizini na ikiwapo amri yoyote… Read More UPENDO / LOVE.

JEHANAMU.

  Kwa mujibu wa agano jipya neno Jehanamu lina maana sawa na neno “Ziwa la moto  au Jehanamu ya moto” ni mahali pa mateso pa adhabu ya mwisho,mateso ya umilele. Neno hili,Yesu alikuwa akilitumia mara kwa mara katika mifano yake akionesha ni wapi waovu watakapoishia ( Mathayo 13:41-43) Hata hivyo neno hili,linaonekana kutoka kwenye neno… Read More JEHANAMU.

SIRI YA KUMTAMBUA NABII WA UONGO ~ 02

  Ebu itazame picha hapo juu? Umegundua nini? Ukiangalia haraka haraka huwezi kugundua chochote. Lakini ukiitazama vizuri,kuna vitu vingi utavigundua. Kitu cha kwanza kinachoonekana wazi ni huyo mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo. Kwanza hilo limbwa lina sura mbaya, lakini limevaa ngozi ya kondoo ili lisijulikane. Lakini pili huyo mbwa mwitu amejichanganya katikati ya kondoo… Read More SIRI YA KUMTAMBUA NABII WA UONGO ~ 02