KUWA WEWE,KUWA HALISI !

“Ndipo Sauli akamvika Daudi mavazi yake ya vita, akamtia chapeo cha shaba kichwani, akamvika dirii.Naye Daudi akajifunga upanga juu ya mavazi yake, akajaribu kwenda; maana alikuwa hajavijaribu. Daudi akamwambia Sauli, Siwezi kwenda na vitu hivi, maana sikuvijaribu. Basi Daudi akavivua.” 1 Samweli 17:38-39 Sauli mfalme wa Israeli anamvika mavazi ya kivita kijana mdogo wa Kiebrania… Read More KUWA WEWE,KUWA HALISI !

NGUVU YA MATAMKO

Sote tunafahamu kwamba maneno yana nguvu kwa maana hata ulimwengu uliumbwa kwa Neno hata vitu visivyokuwapo vikawa. Lakini tunaposema kuhusu “matamko” tunamaana ya kifungu cha maneno yaliyokamilika ( sentensi kamali yenye maana). Yanayotamkwa kwa lengo fulani. Kuna “matamko” mengi katika biblia yatakayoweza kukusaidia unapokabiliana na changamoto mbali mbali.  Matamko ya afya na uzima Matamko haya… Read More NGUVU YA MATAMKO

KAZI YA ROHO MTAKATIFU KUHUSIANA NA WENYE DHAMBI

Kuna kazi nyingi sana za Roho mtakatifu zilizoainishwa kwenye Biblia. Kazi zake zinaweza kugawanywa kwenye makundi makundi,mfano ; kama vile kundi la kazi  zake katika uumbaji,kazi zake katika Mwana wa Mungu-Yesu,kazi zake ndani ya kanisa,kazi zake katika huduma na karama zake,n.k Lakini leo nataka tujifunze kidogo kazi yake Roho mtakatifu kuhusiana na watu wenye dhambi.… Read More KAZI YA ROHO MTAKATIFU KUHUSIANA NA WENYE DHAMBI