NI VIGUMU KWAKO KUUPIGA MATEKE MCHOKOO ( Matendo 26:14)

  Imeandikwa “Tukaanguka nchi sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kuupiga mateke mchokoo” Mdo 26:14 Paulo mtume anaeleza jinsi Bwana alivyomtokea pale Paulo alipokuwa akiitwa Sauli mtu aliyekuwa akiwatesa na kuwaudhi wafuasi wa Yesu (Mdo 8:3) ( Maana hapo mwanzo wafuasi wa Yesu waliitwa watu… Read More NI VIGUMU KWAKO KUUPIGA MATEKE MCHOKOO ( Matendo 26:14)

KIBALI.

Kuna kibali cha mwanadamu na kuna kibali cha Mungu. Siku ya leo tunaangazia eneo moja tu la“ kibali cha Mungu kwenye maisha yako”.Ni mpango wa Mungu kwako kwamba uishi katika kibali kitokacho kwake. Kwamba maneno ya kinywa chako na mawazo ya moyo wako yapate kibali machoni pa Mungu ( kama isemavyo Zab.19:14). Unahitaji kibali katika… Read More KIBALI.