TOFAUTI KATI YA NDOA KAMA AGANO NA NDOA KAMA MKATABA

“Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.” Mwanzo 2:18 Haikupendeza mtu mume awe peke yake,kwa maana kuna mambo asingeyaweza. Hivyo umuhimu wa mtu mke ulionekana tangu hapo mwanzo. Hii ni sawa na kusema kila mmoja anamwitaji mwenzake ili kukamilisha uhusiano mzuri wa kifamilia kwa sababu chanzo cha… Read More TOFAUTI KATI YA NDOA KAMA AGANO NA NDOA KAMA MKATABA

USIKATE TAMAA,MUUJIZA WAKO U KARIBU

Kuna baadhi ya watu katika ndoa wamekata tamaa ya kupata watoto / kuzaa kwa sababu wamekuwa wakihitaji mtoto / watoto kwa muda mrefu,na bado hawajafanikiwa mpaka sasa. Wametumia njia zote wanazozijua wao,matokeo ni bila bila!!! Biblia inasema;   “ Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua…” Mithali 13:12 . Hivyo kwa kuwa wana ndoa wanaposubiri kupata watoto,… Read More USIKATE TAMAA,MUUJIZA WAKO U KARIBU

HASIRA.

Hasira ni nini? Hasira ni hisia kali ndani ya moyo wa mtu zinazomfanya mtu kutenda mabaya. Ni ile namna ya uchungu uliokidhiri wenye kupasuka hata kufanya maamuzi,au kutenda mabaya . Waswahili husema “ hasira ni hasara“, kwa maana matokeo ya hasira ni kutenda mabaya ( Zab.37:8). Tena,hasira ni moja kati ya matendo ya mwilini (… Read More HASIRA.

CHANZO CHA DINA BINTI YAKOBO KUBAKWA.

Moja kati ya jambo baya katika jamii yoyote ni tendo la kumdhalilisha mwanamke. Hakuna jamii inayoweza kuvumilia udhalilishaji/unyanyasaji wa kijinsia.Hata zamani unyanyasaji wa kijinsia ulipigwa vita vikali pamoja na kwamba kulikuwa na watu ambao waliendesha mfumo dume. Maadili ya zamani yalikuwa ni rafiki kwa mabinti,na kwa sababu hiyo unyanyasaji wa kijinsia ulikuwepo kwa kiwango kidogo… Read More CHANZO CHA DINA BINTI YAKOBO KUBAKWA.

IFANYE NDOA YAKO ING’ARE ~ 04 đŸ‘¨â€â¤ī¸â€đŸ’‹â€đŸ‘¨

04. Boresha tendo lako la ndoa. Tendo la ndoa ni jambo muhimu sana la kuinogesha ndoa yako na kuifanya ing’are ikiwa litafanywa katika ubunifu,uzuri na utaratibu . Kila mmoja wenu afahamu kwamba hatakiwi kumnyima mwenzake,pia mpatane kila mmoja wenu,yaani pasiwepo mmoja wenu ambaye atakaye mnyima mwenzake isipokuwa kuna sababu za kiafya zisizozuilika – 1 Wakorintho… Read More IFANYE NDOA YAKO ING’ARE ~ 04 đŸ‘¨â€â¤ī¸â€đŸ’‹â€đŸ‘¨

PORNOGRAPHY CHANZO CHA JINI MAHABA.

“… Jamani, mapepo ya zinaa yalinitesa sana kwa miaka mingi. Nakumbuka nilikuwa naingiliwa na mwanaume ambaye simjui, na nikiamka najikuta nimechafuka au wakati mwingine sichafukagi lakini nijikuta nipo hoi, utafikiri kweli nilikuwa kwenye tendo na mwanaume. Hali hii ilinisumbua kwa muda nami sikujua nini ni chanzo hasa. Kwa upande fulani ilipoanza hali hii kusema ukweli… Read More PORNOGRAPHY CHANZO CHA JINI MAHABA.

IFANYE NDOA YAKO ING’ARE -02

2. Jenga tabia ya kumletea zawadi mpenzi wako Miaka ya nyuma wakati nilipokuwa nimeajiriwa na kampuni moja hivi. nakumbuka nilikuwa nikimletea mke wangu zawadi fulani hivi ndogo ndogo mara kwa mara,na hakika niliona namna  penzi letu likiwa linainuka kwa gafla na kwenda juu sana. Hapo ndipo nikatambua,kumbe wanawake wanapenda zawadi! Mke wangu alikuwa anapenda nimletee… Read More IFANYE NDOA YAKO ING’ARE -02

MOYO WA UKARIMU

“ Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo. Hata alipokwisha kubatizwa, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae. Akatushurutisha.” Matendo 16:14-15 Mwanamke Lydia anaungana na wanawake… Read More MOYO WA UKARIMU

TENDO LA NDOA NI TAKATIFU ( SEX IS HOLY IN MARRIAGE)

“ Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.” 1 Wakorintho 7:3 Tukumbuke kwanza, kwamba tendo la ndoa kwa wanandoa ni zawadi kutoka kwa Mungu mwenyewe. Lakini zawadi hii inaweza ikageuka kuwa tanzi/ubaya ikiwa litafanywa nje ya maelekezo ya Mungu (nje ya Neno). Mfano mwanandoa anapombaka mwenzake,ni makosa.… Read More TENDO LA NDOA NI TAKATIFU ( SEX IS HOLY IN MARRIAGE)