MUNGU HAZOELEKI

Ifike wakati kila mmoja ajue ya kwamba Mungu hazoeleki kwa maana Yeye sio mjomba wala kaka,bali Yeye ni Mungu asiyefananishwa na kitu chochote kwa sababu Mungu ametukuka sana,Yeye ni Bwana wa mbingu na nchi ( Matendo 17: 24) Hivyo ni Mungu wa kuheshimiwa sana. jifunze kwa Samweli kama case study ya somo hili. Nimemchagua nabii… Read More MUNGU HAZOELEKI

KWA NINI UNATAKA KUJIUA? – 01.

  “Kisha Yuda, yule mwenye kumsaliti, alipoona ya kuwa amekwisha kuhukumiwa, alijuta, akawarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande thelathini vya fedha, akasema, Nalikosa nilipoisaliti damu isiyo na hatia. Wakasema, Basi, haya yatupasani sisi? Yaangalie haya wewe mwenyewe.Akavitupa vile vipande vya fedha katika hekalu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.” Mathayo 27:3-5 Wakati Petro alipomkana Yesu alilia… Read More KWA NINI UNATAKA KUJIUA? – 01.

KIJANA, USIPANGE CHUMBA KAMA HUJAJIPANGA

Ukweli ni kwamba kupanga chumba au nyumba ni jambo muhimu la kuanzia maisha nje ya wazazi/walezi wako. Lakini yeyote anayekwenda kupanga lazima awe ana sababu maalumu ya kupanga. Mfano wa sababu maalumu ni pale unapopanga kwa ajili ya kuanza kujitengemea na kuanzisha familia nyingine,huku ukijiandaa vizuri kujenga nyumba yako. Lakini ikiwa unakwenda kupanga chumba bila… Read More KIJANA, USIPANGE CHUMBA KAMA HUJAJIPANGA

KUANDIKA URITHI SIO KUJICHULIA KIFO!

Mzee mmoja aliyekula chumvi nyingi alikuwa akiumwa hoi, amelazwa. Lakini alikuwa akijitambua ingawa alikuwa anaumwa sana ; basi akiwa katika hali kama hiyo mwanae mmoja akamwambia “baba ebu sasa andika urithi wa mali zako” yule mzee alimtupia jicho mwanae kisha akamjibu “hafi mtu hapa! Unaniombea nife ili mgawane mali zangu, kwa taarifa yako, ninyi niombeeni,… Read More KUANDIKA URITHI SIO KUJICHULIA KIFO!

NAMBA ZA DHARURA ZA BIBLIA.

 Shalom… Hahahahaha😁😁😁😁,its funy! Anyway,jisomee tu…( nimetumiwa na mpendwa mmoja) ☎📞Katika majonzi, piga Yohana 14 Watu wakikukosea, piga Zaburi 27 ☎📞Kama umetenda dhambi, piga Zaburi 51 ☎📞Ukiwa na hofu, piga Mathayo 6:19-34 Katika hatari, piga Zaburi 92 ☎📞Ukiona kama Mungu yuko mbali nawe, piga Zaburi 139 ☎📞Kama imani yako inahitaji muongozo au marekebisho, piga Wahebrania 11… Read More NAMBA ZA DHARURA ZA BIBLIA.

JIFUNZE KUMPA MUNGU NAFASI YA KWANZA.

Ifike wakati ujifunze kumpa BWANA MUNGU nafasi ya kwanza kwa kila hatua katika maisha yako. Kwa maana zipo faida nyingi mno za kumtanguliza Mungu katika yale yote uyafanyayo.Kumbuka ya kwamba;hakuna aliyemtanguliza Bwana Mungu katika mambo yake na akapata hasara. Kuna mambo magumu unayoyapitia hivi sasa ni kwa sababu hukutaka kuenda na Mungu katika safari yako… Read More JIFUNZE KUMPA MUNGU NAFASI YA KWANZA.

FANYA MAOMBI NA UPIGE KURA

Kupiga kura ni haki yako ya msingi,usithubutu kuipoteza haki hii. Usiwe mmoja wa watu wenye kulalamika kutwa nzima kwa kuwasema vibaya viongozi wa serikali kwamba ni wabaya,hawafai! kumbe haukuusika kupiga kura. Sasa,unafikiri kama utaishia kuomba tu,ni nani atakuchagulia yule umtakaye? Tuache mawazo haya yasiyokuwa na maana bali tushiriki sote katika zoezi la kiga kura. Kumbuka… Read More FANYA MAOMBI NA UPIGE KURA

MTUMWA WA DHAMBI.

Yesu aliwaambia wale Wayahudi waliomwamini sentensi nguma sana,kwa sababu wao wenyewe walikuwa ni watumwa wasiojitambua kwamba ni watumwa. Unaweza ukawa mtumwa na usijitambue kama wewe ni mtumwa kwa maana si wote wanaoweze kujitambua utumwa wao. Wayahudi hawa ingawa walikuwa wakimwamini Yesu lakini bado walikuwa ni watumwa wa dhambi,kama leo jinsi ilivyo unaweza ukamwamini Yesu lakini… Read More MTUMWA WA DHAMBI.